TAMAA YAMPONZA AKUTWA NA UMAUTI(onyo usimsahihishe Mungu)

...................

Imekuwa kama fashion mtu kutaka awe kama anavyotaka yeye na si Mungu alivyotaka. Watu wanajaribu kurekebisha maumbile yao kadiri watakavyo. Wapo wanaofanikiwa lakini wengine hawafanikiwi na hupatwa na majanga na wengine kufa. Najua umejifunza jambo katika video hii.siku njema
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: