UKATILI HUU UNAISHA LINI? NANI WA KULAUMIWA?

...................



Hali ya utoaji mimba bado inaendelea na pia hali ya utupaji watoto wachanga au hata kuwa ua bado inaendelea.Mambo haya mara nyingi yamekuwa yakifanywa na mabinti wadogo zaidi WANAFUNZI WA VYUO NA SEKONDARI HAPA NCHINI. Kama unaona hupo tayari kuwa mzazi basi achana na ngono zembe ambazo kwa hali moja ama nyingine unaweza kupata mambo mawili ambayo ni mimba zisizotarajiwa au maambukizi ya HIV,mara nyingine vyote kwa pamoja. Sijui kati ya jinsia ya kiume na jinsia ya kike ni jinsia gani ipewe mzigo wa lawama. Binti mmoja kutoka chimala mbeya alikumbwa na mkasa wa kuzaa na kuua mtoto mchanga
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: