...................
Mamia ya waumini wa dini ya Kikristo kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekusanyika mjini Bethlehem katika mji ambao unaaminika ndipo alipozaliwa Yesu Kristo kuazimisha sikukuu ya kuzaliwa kiongozi huyo wa dini yao.Picha kwa hisani ya bbc
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments: