HAWA NDIO WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2015.

...................
Soma swali namba moja halafu toa maoni.
Hakika kweli hali ni mbaya katika sekta ya elimu. Mwanafunzi aliyechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2015 ameonyesha jinsi mfumo wa mitihani kwa shule za msingi unavyoleta mzigo kwa walimu katika shule za sekondari. Mfumo wa kuchagua unaotumika shule za msingi unasababisha wanafunzi walio na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kuendelea na masomo ya sekondari.

Mtoto badala ya kujieleza anachagua.
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: