KWANINI NAFIKIRIA DUNIA IFIKIE MWISHO WAKE...? (WHY I THINK THE WORLD SHOULD END.)

...................



Kila binadamu ana uhuru wa kutoa mawazo na kusikilizwa na wengine. Ndugu yetu anatoa mawazo kuwa kwa mtazamo wake anafikiri dunia ingeishia hapa kwa maana ya kutokuwepo kwa uendelevu wa maisha. Kasema hii inatokana na mambo yanayojotokeza duniani yanayofanyavna binadamu yenye athari zinazofanya dunia isiwe mahala pazuri pa kuishi. Na ndipo alippona ni afadhari maisha yafikie ukomo. Mambo hayo ni kama kuanguka kwa uchumi,mapolisi kula rushwa,uchafuzi wa mazingira na hewa pamoja na mengine mengi. Wewe ndugu yangu unamtazamo gani katika hili?

http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: