UNAIFAHAMU TUNDUMA? KWA UFUPI MWONEKANO WAKE HUU HAPA

...................

Mji huu ni mji wa kibiashara,unaendesha maisha ya watanzania na nchi jirani za Zambia, Congo, Zimbabwe, Angola na nchi nyinginezo za kusini mwa Afrika. Mji una watu wengi wa mataifa mbali mbali, ambapo wapo wanaofika kufanya biashara na kuondoka na wengine kwaajili ya kuingia nchi katika mikoa ya katikati ya nchi yetu. Kupitia mji huu nchi inanufaika kwa kupata mapato ya ushuru katika biashara na kupata fedha za kigeni. kuufahamu mji huu na shughuli zake usikose kutembelea blog yetu
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: