WAWILI WAFA KWA SHAMBULIO LA RISASI MAHAKAMANI..!

...................
Palace of Justice in Milan (2011)
watu wawili wamefariki huko nchini Italy katika mji wa Milan baada ya kushambuliwa kwa risasi wakiwa mahakamani.Mshambuliaji amefahamika kwa jina la Claudio Giardiello.

kwa habari zaidi soma bbcnws
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: