TAZAMA PICHA ZA MASTAA WALIOLIPA PESA NYINGI KUANGALIA PAMBANO LA MAYWEATHER NA MAYPAC
Pambano
la Manny VS Mayweather limesababisha mastaa wakubwa kusafiri hadi Las
Vega kuangalia fight hiyo. Karibia wote walikaa kwenye viti vya bei ya
juu, kati yao ni Michael Jordan, Nick Minaj na wengine wengi. Cheki
picha zako hapa

0 comments: