Mario Balotelli anamkosi gani...?
timu ya sampdoria iliyokuwa inamhitajimchezaji huyo imetangaza wazi haimuhitaji tena mchezaji huyo.
Kocha wa sampalinukuliwa akisema"balotelli na casano ni wachezaji wenye vipaji lakini sisi hatuwezi wasajili". Kwa maana hiyo uwezekano wa kurudi Italia ni mgumu kwake na kuongeza matumaini ya kuendelea kusugua benchi liverpool,hii ni kwa sababu hakuna timu yeyote inayomwitaji balo kwa sasa

0 comments: