AHUKUMIWA LICHA YA KUTANGAZA KUFILISIKA
Rapper mashuhuri huko marekani kashikiliwa na pilato kwa kupatikana na hatia ya kusambaza video ya mapenzi ya mwanadada mmoja bila ridhaa ya mhusika. Pilato ametangaza kitita cha dolla 6million licha ya rapa huyo kusemekana amefirisika
habari zaidi www.news.com.au/entertainment/celebrity-life/lawsuit-against-50-cent-to-proceed-despite-bankruptcy-ruling/story-fn907478-1227447228581
0 comments: