NANI KATI YA HAWA ATAMRITHI HODGSON KUIONGOZA ENGLAND?
...................
Kocha wa timu ya Taifa ya England amebakiza miezi 12 kuiongoza timu hiyo. je baada ya muda kuisha ataongezewa mkataba? au kibarua kitaota mbawa? nani wa kumrithi kati hawa hapa chini?
Gareth Southgate
Amekua kocha Middlesbrough lakini FA wakamteua kuwa kocha wa england u21
0 comments: