SIMANZI TUNDUMA.CHUI ASAMBARATISHWA
Timu ya soka ya SOGEA UNITED leo imetoa kichapo kikali kwa timu ya TIGER FC na kupelekea simanzi kubwa kwa mashabiki wa timu hiyo. Vijana wa SOGEA chini ya kocha wao(mwampashi) wakiwa wamejiandaa vyema waligawa dozi ya mabao 4 kwa nunge. Kichapo hicho kilikuwa cha pili katika mfululizo wake kwenye ligi inayoendelea mjini hapa, baada ya kuitembezea kichapo timu kali ya MORNING STAR kwenye mechi ya kwanza.
Magoli ya sogea united yamefungwa katika vipindi vyote viwili ambapo kipindi cha kwanza walifunga goli 3 na kipindi cha pili walifunga goli moja. Ligi hiyo inaendelea ambapo kila siku kuna mechi zinaendelea nasi tutazidi kuwaletea habari za mechi hizo 
wachezaji wa sogea united wakiwa katika maandalizi kabla ya mechi (aliyevaa mzula ni kiongozi bwana Jose)
Mr Rich ni mchezaji kiongozi 
muuaji Nico a.k.a Nasri akiwa na Puyol 
wachezaji katikt picha 
KOCHA WA TIMU aliyeshika koti 
KIPA WA TIMU YA SOGEA UNITED 
MUUAJI WA CHUI AKIWA NA SADAM 
Mr POLO KABLA YA MECHI 
.
.
.
/



.
.
.
.
0 comments: