YALAAA MESSI AKUBWA NA MABALAA .....SOMA HAPA

...................
Messi tears off his medal immediately after receiving it as Argentina lost to Chile in SantiagoMchezaji wa timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi amekubwa na balaa la familia yake kushindwa kuangalia balaa lake la kula kichapo uwanjani toka kwa chile. Tukio hili lilitokea wakati mechi kati ya chile na argentina likiendelea kwa kitendo cha kaka ya messi kupigwa na kitu kilichorushwa na mashabiki wa chile. baada ya tukio hilo familia nzima iliondoshwa uwanjani kwa usalama wao.


habari zaidi http://www.dailymail.co.uk/sport/football/
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: