USAJILI WAMEKAMILISHA, LAKINI NI SAHIHI KUWAITA WASALITI WA KAULI ZAO....!!???
Fabian Delph, from Aston Villa to Manchester City, $17m
Younes Kaboul, from Tottenham to Sunderland, undisclosed
..Awali alitoa tamko kwamba atabaki kukipiga villa park lakini baadaye ndo huyo man city. Akiwa kamwacha kocha wake kashikilia kichwa asijue la kufanya
.
.
.
Mchezaji Younes Kaboul awali agent wake alitamka kuwa hawezi kumpeleka mteja wake sunderland labda yatokee mafuriko, lakini usemi huo tunauchukuliaje baada ya mchezaji huyo kujiunga na sunderland? Je ni kweli mafuriko yametokea? au usitukane mamba kabla hujavuka mto?
kazi kwako msomaji
chanzo:dailymail.co.uk

0 comments: