Danny Mrwanda Huyooooooo Majimaji
Klabu ya Majimaji yenye makao yake makuu mjini Songea imefanikiwa kumsajili mshambuliaji mkongwe Tanzania, Danny Mrwanda.
Mrwanda aliyewahi kukipiga na kung’ara akiwa Simba, imeelezwa amesaini mkataba mfupi na Majimaji.Kocha Msaidizi wa Majimaji, Hassan Banyayi amesema Mrwanda amesajiliwa ili kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji.
Kabla ya kwenda Majimaji alikuwa anakipiga Yanga ambayo ilimsajili kutoka Polisi Moro
chanzo:goal.com
0 comments: