CHILE YA TOA KICHAPO , SANCHEZ AWA SHUJAA...... LAKINI MESSI CHALI

...................
Chile 0-0 Argentina (AET, 4-1 pens): Alexis Sanchez scores winning penalty as hosts clinchTimu ya taifa ya chile imefanikiwa kuutwaa ubingwa wa copa america baada ya kuiondosha timu kongwe katika ukanda huo na yenye mastaa wengi waliobobea katika soka ya Argentina. Tukio hili limevunja historia ya miaka 99,

Katika mtanange huo timu zote zilitoka sare ya bila kufungana kwa dakika zote. Mikwaju ya penalti ikakata mzizi wa fitina. Argentina ya Messi ikapata penalti moja tu iliyofungwa na Messi huku Higuain akikosa na Chile wakifunga nne.
kwa habari zaidi pitia http://www.dailymail.co.uk/sport/
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: