ADIDAS WAFANYA KUFURU MAN UTD KUPITIA JEZI MPYA YA TIMU. SOMA HAPA....!
Timu ya man utd imekamilisha deal la ufadhiri kutoka kampuni ya adidas lililoambatana na kutangazwa kwa jezi mpya zitakazo tumika msimu wa 2015/2016.
mkataba huo mnono wa euro 750 million utawafanya man utd kupata euro 100 mil zaidi kwa kipindi chote cha mkataba wao.
mkataba huu wa man utd ni funga kazi maana umezidi timu nyingine zinazo fadhiriwa na adidas kama bayern euro 650 million na chelsea euro 300 million
.
.
.
chanzo:the dail mail
0 comments: