Urais......Majimbo Matatu yametangazwa na Yote Yamechukuliwa na CCM
...................
Tume
ya Taifa ya Uchaguzi imeanza zoezi la kutangaza Matokeo ya
Urais ambapo mpaka sasa majimbo matatu yametangazwa. Majimbo
Yaliyotangazwa ni Jimbo la Makunduchi,Pache na Lulindi
Katika majimbo yote matatu yaliyotangazwa, Dr Magufuli ameongoza kwa mbali dhidi ya mpinzani wale Edward Lowassa.
0 comments: