YALIYOJILI DAR WAKATI WA KUFUNGA KAMPENI YA UKAWA
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji,
wakiwasili kwenye viwanja vya Jangani jijini Dar es salaam, kwa ajili ya
Mkutano wa Kufunga Kampeni zao, leo Oktoba 24, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa
tiketi ya Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati
alipowasili kwenye viwanja vya Jangani jijini Dar es salaam, kwa ajili
ya Mkutano wa Kufunga Kampeni zao, leo Oktoba 24, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi waliofurika kwenye
viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam na Taifa kwa ujumla kupitia
vyombo mbali mbali vya habari, wakati wa Mkutano wa kufunga Kampeni, leo
Oktoba 24, 2015.
0 comments: