MBUNGE WA CCM AWASILISHA BARUA KWA KATIBU WA BUNGE KUHUSU POSHO

...................

Mbunge wa Singida Magharibi leo kawasilisha barua kwa katibu wa bunge ili kusimamisha posho zake zote "sitting allowance" na kuziweka kwenye akaunti maalum kwa ajili ya maendeleo ya jimbo hususan kwenye maji, elimu na afya... 


http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: