Mh:Januari Makamba akanusha tuhuma zinazo mkabili............soma hap

...................


January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.

Katika utetezi wake, Makamba amesema picha hizo hakuziweka yeye bali ziliwekwa na vijana wengine ambao ilibidi awatafute wampe ufafanuzi wa picha hizo baada ya kuzua gumzo mitandaoni na katika baadhi ya magazeti
  Picha zinadaiwa kumkejeli Rais Magufuli.




Picha hii inaonyesha   sokwe mtu wakiwa wamevalia suti  na  huyo mtu anayeonekana kurukia kamba huku nyuma ana mkia lakin akiwa amevalia kaptula peke yake
Picha hii inaonyesha Nguruwe wakiwa wamepewa heshima ya zulia jekundu ambayo ni heshima ya kipekee anayopewa binadam pekee 
 Picha hii inamuonyesha mtu akiwa amewasha moto kwa kutumia kuni ambazo chanzo chake ni ngazi anayotakiwa kutumia kutokea nje ( juu )  
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: