TUNDUMA MJI WASAFISHWA...........ANGALIA PICHA HIZI
Napenda kutoa pongezi
za kutosha kwa wanatunduma kwa kuitikia agizo la Rais la kutumia siku ya tarehe
9/12/2015 kuwa siku ya usafi nchi nzima.
USAFI KWA UJUMLA
Wana tunduma wameitikia
tamko la Rais kwa kufanya usafi kwenye mazingira ya makazi yao na hata sehemu
za biashara. Kiujumla naweza kusema wamejitahidi kwa kiwango chao.
UHAMASISHAJI
Tumepata hamasa toka
kwa wafanyakazi wa serikali (walimu na watendaji) walijitokeza kuhamasisha na
kushiriki katika suala zima la usafi, natoa pongezi kwao
Mwisho niwashukuru wote
waliomuunga mkono Mheshimiwa Rais Kwa kuitikia wito wa kutokomeza uchafu ili
kujikinga/kujiweka salama na magonjwa ya mlipuko yasababishwayo na uchafu.
Prosper Ndelwa
kazi ikiendelea
Kazi ya kusafisha mitaro
Mr Mponela
Mmiliki wa blog hiiakifanya usafi(wapili kutoka kushoto, mwenye begi)
Blogger na Mtendaji wa eneo la Tukuyu-Tunduma
Mr Danny
0 comments: