IRAN KUPATA AHUENI SIKU ZIJAZO
Kila msafiri anayewasili katika mji mkuu wa Iran, Tehran anakuwa mara
moja mteja wa Jeshi la Mapinduzi la Iran. Hii ni kwa sababu wanajeshi wa
Jamhuri hiyo ya kiislamu wanaendesha shughuli zao katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Imam Khomeini, wakifanya biashara yenye faida
kubwa kupitia utozaji wa ada za kuingilia na ndege kutua pekee. Huku
wanajeshi hao wakizidhibiti bandari na viwanja vingine vya ndege, Jeshi
la Mapinduzi linalojulikana pia kama "Sepah Pasdaran" - linaidhibiti
mipaka ya Iran.
Zaidi bofya link hii matumaini-yazidi-kuwa-makubwa-nchini-iran

0 comments: