MCHINA ABURUZA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE 2O16 NCHINI TANZANIA
Msichana kutoka China ameibuka wa
pili kwa ubora katika matokeo ya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne
yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta).
Congcong Wang, 16, alifanyia mtihani wake shule ya upili ya wasichana ya Feza iliyoko eneo la Kinondoni, Dar es Salaam.Zaidi bofy link hapo chini
china_student_excel_tanzania

0 comments: