Tai jasusi sasa huru
Tai mkubwa
aliyezuiliwa nchini Lebanon akituhumiwa kuwa jasusi wa Israel
ameachiliwa huru baada ya walinda usalama wa Umoja wa Mataifa kuingilia
kati, maafisa wa Israel wamesema.
Ndege huyo, mwenye mabawa ya
urefu wa mita 1.9, alipaa kutoka hifadhi ya wanyama ya Israel na kuingia
Lebanon ambapo alikamatwa na kuzuiliwa na wanakijiji.Walianza kumshuku baada ya kugundua kwamba alikuwa na kifaa cha kutumiwa kufuatilia anakoenda
zaidi bofya hapa
0 comments: