BREAKING: TAARIFA YA TETEMEKO LA ARDHI LILILOTOKEA LEO BUKOBA
Mamlaka hiyo imesema japo mpaka sasa haijapata idadi kamili ya waliojeruhiwa, idadi ya waliofariki kutokana na tetemeko hilo mpaka jioni ya leo September 10 2016 ni Watanzania wanne ambapo bado juhudi za uokoaji zinaendelea kufanyika

0 comments: