HELIKOPTA YA KIJESHI YA KOREA YA KUSIN YAPATA AJARI MBAYA

...................

Ajali ya helikopta ya kijeshi  Korea Kusini
Kwa mujibu wa habari zilizotolewa na kituo cha habari cha Korea Kusini cha Yonhap zinafahamisha ya kwamba askari wa 3 hawajulikani walipo baada ya helikopta ya kijeshi ya Korea Kusini  aina ya Lynx kufanya ajali kwenye umbali wa kilomita 52 kutoka eneo la Yangyang katikati mwa bahari nchini Korea Kusini.
Ajali hiyo ilitokeya baada ya dakika 8 helikopta hiyo kunyanyuka katika manuari ya kivita ya Aegis pindi jeshi la Korea Kusini likifanya mazoezi ya pamoja na jeshi la Maarekani.
Baada ya ajali hiyo zaidi helikopta aina Lynx 20 ziliondolewa katika maeneo mengine ya mazoezi.
Ifahamike ya kwamba mpaka sasa haijajulikana vyanzo vya ajali hiyo.
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: