Maabara ya anga za juu ya China Tiangong-2 iko tayari kurushwa
Hii itakuwa ni maabara halisi ya kwanza ya anga za juu ya China katika mradi wake wa kubeba binadamu katika anga za juu. Tiangong-2 itaingia kwenye njia ya mzunguko iliyo kilomita 393 juu ya sayari ya dunia, ambapo mwezi ujao itaungana na chombo cha anga cha Shenzhou-11 kilichobeba binadamu.
chanzo: http://swahili.cri.cn
0 comments: