RAIS MAGUFULI AMEANZA KUWASHUGHULIKIA WALIOHUJUMA MISAADA KAGERA
Hatua hiyo
imekuja baada ya kubaini kuwa wamefungua akaunti nyingine ya benki kwa
kutumia jina linalofanana na akaunti rasmi ya kuchangia maafa iitwayo
“Kamati Maafa Kagera” kwa lengo la kujipatia fedha.
Taarifa
hiyo pia imeeleza kuwa pamoja na kutengua uteuzi huo Rais Magufuli
ameagiza vyombo vya dola vichukue hatua dhidi ya wote waliohusika katika
njama za kufungua akaunti hiyo.
Aidha,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mhasibu Mkuu wa Mkoa wa
Kagera Simbaufoo Swai kutokana na kuhusika katika njama hizo. Hata hivyo
Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wananchi na taasisi mbalimbali
kuendelea kuchangia misaada kwa ajili ya walioathirika kwa kutumia
akaunti rasmi ya “Kamati Maafa Kagera” ambayo imetangazwa na Serikalichanzo: http://millardayo.com

0 comments: