Samsung galaxy note 7 zasimamishwa kuuzwa
Shirika la Samsung Electronics la nchini Korea Kusini lasimamisha mauzo ya simu aina ya Samsung galaxy note 7
Hayo yalifahamishwa na kuthibitishwa na mkurugenzi wa kitengo kinacho jishuhulisha masuala ya simu katika shirika la Samsung Electronic Koh Dong-Jin katika mkutano na waandishi wa habari.
Koh Dong-Jin alifahamisha kuwa walichukua uamuzi huyo baada ya kupokea malalamiko kwa walionunua simu hizo na kwamba watu hao watabadilishiwa simu hizo na televisheni za kisasa.
Ifahamike ya kwamba Samsung note 7 ilizinduliwa tarehe 19 za mwezi Agosti
source:http://www.trt.net.tr

0 comments: