Orodha ya wachezaji waliosajiliwa kwa fedha nyingi zaidi barani Ulaya
Transfermarket yatoa orodha ya wachezaji 10 waliosajiliwa kwa fedha nyingi zaidi msimu huu barani Ulaya
Shamrashamra
za usajili na uhamisho wa wachezaji zilikamilika mwishoni mwa mwezi
Agosti kufuatia msimu wa mwaka 2016-2017 wa ligi za soka barani Ulaya.
Tovuti rasmi ya kufuatilia usajili na uhamisho wa wachezaji Transfermarket imechapisha orodha ya wachezaji waliosajiliwa kwa fedha nyingi zaidi.
Kulingana na orodha hiyo, ligi ya Uingereza imeweza kutumia fedha nyingi zaidi katika dirisha la usajili msimu huu.
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji 10 waliosajiliwa kwa fedha nyingi zaidi msimu huu barani Ulaya;
1- Paul Pogba: Juventus - Manchester United Euro milioni 105
2- Gonzalo Higuain: Napoli – Juventus Euro milioni 90
3- John Stones: Everton – Manchester City Euro milioni 55.6
4- Leroy Sane: Schalke 04 - Manchester City Euro milioni 50
5- Granit Xhaka: Borussia Mönchengladbach – Arsenal Euro milioni 45
6- Henrikh Mkhitaryan: Borussia Dortmund - Manchester United Euro milioni 42
7- Sadio Mane: Southampton – Liverpool Euro milioni 41.20
8- Shkodran Mustafi: Valencia – Arsenal Euro milioni 41
9- Joao Mario: Sporting Lizbon – Inter Euro milioni 40
10- Michy Batshuayi: Olympique Marseille – Chelsea Euro milioni 39

0 comments: