SOMA AJABU HILI, MMEA WATUMIKA KUTENGENEZA SUKARI

...................
.Mmea wa kutengeneza sukari mjini Rize nchini Uturuki
Mmea wa kutengeza sukari mjini Rize nchini Uturuki
Mmea wenye kuweza kutoa sukari al maarufu kama Stevia ambao hapo awali unajulikana kupatikana Amerika ya Kusini,Argentina na China pekee sasa kwa mara ya kwanza umeweza kukuzwa  Rize nchini Uturuki.
Mmea huo una sifa ya kipekee ya uwezo wa kutoa sukari isiyo na kalori.
Rais Recep Tayyip Erdogan aliupa mmea huo jina la 'Rize şekeri' kwa maana ya 'Sukari ya Rize' .
Mmea huo umefanyiwa majaribio 4 ya utengezaji wa sukari kwa mafanikio .
Mmea wa Stevia uliletwa kutoka Argentna na kupandwa Rize na umeonekana kuweza kukua katika udongo wa eneo hilo na pia kustahimili hali ya hewa pia .
Sukari inayotengenezwa kutoka kwa mmea huo haina madhara ya kiafya na pia mbali na hayo haina kalori wala protini yoyote .

CHANZO: http://www.trt.net.tr
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: