AJARI YA TRENI YAUA 55
Watu 55 wamefariki dunia na wengine takriban 600 wamejeruhiwa baada ya treni iliyokuwa imejaa watu kuanguka nchini Cameroon Ijumaa ilipokuwa ikisafiri kutoka mji mkuu Yaounde kuelekea mjini Douala
Kwa habari zaidi bofya link hapo chini
ajali-ya-treni-cameroon-yauwa-watu-55

0 comments: