CLINTON AKUMBANA WA WAKATI MGUMU UCHAGUZI MAREKANI
Nusu ya Warepublican watakataa ushindi wa Clinton
Uchunguzi mpya wa maoni nchini Marekani umeonyesha kuwa
asilimia hamsini ya Warepublican nchini humo hawatakubali ushindi wa
mgombea urais wa chama cha Democratic Hillary Clinton.
habari hii inapatikana zaidi hapo chini

0 comments: