KUTOKA MITANDAO YA KIJAMII

...................

LABDA HII ITAKUSAIDIA KIDOGO
Ni bora na afadhali ukachelewa kuoa au kuolewa, ukaingia kwenye ndoa ukiwa na miaka hata zaidi ya 40 halafu ukaishi miaka yako michache ya ndoa na mtu atakayezigusa ndoto zako na hisia zako kuliko kukimbilia kuoa au kuolewa ili nawewe uitwe umeoa au umeolewa na watu wale sherehe halafu utumie muda mrefu wa maisha yako ya ndoa kuishi na kimeo. Majuto yake yanachoma zaidi ya moto wa pasi. Slow down, marriage is to be enjoyed - Chris Mauki

NA HII
 Mwanafunzi amesoma miaka saba (07) amefanya mtihani wa darasa saba kapata wastani wa 70 unajua amefanya masomo mangapi au tunaangalia hiyo alama ina karibia 100.......kwa uelewa wangu wastani wa 70 kwa masomo matano ni asilimia 28 (F) amefeli si ndiyo wadau .......
Nawezaje kumbadilisha kwa miaka minne? Huyu inahitajika nguvu ya ziada ...... jamani eeeeeh wavuta bangi, wanaokunywa viroba shuleni ni wengi mno wafuateni walimu wawaambie ..... Nasikia sijui lakini kwaani huwa siyaamini masikio yangu ....
Eti imegundulika wanafunzi wa "mbeya kutwa" nidhamu haitoshelezi .....watafanyaje ....
Utamsogeleaje mtoto wa simba wakati baba na mama yao wapo....
Waacheni watoto wapendwa wa baba .....
....
....
"Napinga sana adhabu waliyotoa kwa mwanafunzi huyu....."



HAPOOOO
 Kuna siku nilisema natafakari adhabu ya walimu wa mazoezi Mbeya day watu wakachooooonga
......... sasa taratibu watu wanaungana nami kutafakari ile adhamu na njia ambayo wataalamu wetu waliyotumia kukomesha adhabu ile "kwa wa adibishaji"
Nilikuwa natafakari haya
1. Adhabu ile ilitolewa na nani
2. Adhabu ile ilitolewa kwa nani
3. Adhabu ile ilitolewa katika hali gani ( Mwanafunzi akiwa ktk hali gani na mwalimu akiwa katika hali gani)
4. Je walimu wale walikuwa vichaa, wakatili, wauaji ....
5. Mwanafunzi kafanya kosa kubwa kiasi gani mpaka apigwe vile (Eti wataalamu tungetafuta kosa ..... au tungeunda tume ikachunguze tatizo ...... haiwezekani kibano kile kiwe kuto kuandika kazi aliyopewa.... ni mawazo yangu tu lakini...)
6. Walimu wakiweka zana zinazohusu nidhamu nini kitatokea. ... kuna wazazi watazikimbia nyumba zao na kuwapisha watoto wao.... nahisi kama kuna vitu vitaibuka mitaani. ...
7. Hivi Watanzania wenzangu tunajua kuwa watoto wetu wanakaa na walimu muda mrefu zaidi kuliko sisi wazazi , jaribu kukaa na mtoto wako saa sita tu kama hujamfukuza aende shuleni kama hujapigwa au kutukanwa
8. Wataalamu wetu walindeni hawa wazazi wanafanya kazi ngumu sana
Mkawatembeleeeee mkawape pole kwa kazi ngumu...... wameshakata tamaaa hawa
.
.
.
. Napinga adhabu "hizi" kali mno.....
Tukutane hapahapa kwa sehemu ya pili
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: