WANGAPI WATATUMIA WAKIUPATA "Mmea wa kudumisha ujana"
Mmea wa kudumisha ujana Kayseri nchini Uturuki
Kutokana na kufahamika kwake katika matibabu ya afya ya binadamu, matunda ya « gilaburu » yannayopatika katişka mkoa wa Kayseri nchini Uturuki yatawakilishwa katika soko la kimataifa.
Mmea huo ambao unatoa matunda hayo unafahamika kwa kuwa na uzito wa vimeleo ambayo viinachangia katika kudumisha ujana.
Mmea huo ulianza kulimwa mkoani Kayseri kwa mara ya kwanza baada ya vita vya pilivya dunia na kutumiwa na wakaazi katika eneo hilo.
Mbegu za tunda hilo zina muundo wa punje ambalo zinamaji ndani yake amboyo hufyonzwa.
Katika wakati wa mavuno ya matunda hayo, mikoa mingine ya Uturuki huwa ikiotoa taarifa kuwa nayo inahitaji matunda hayo.
chanzo: http://www.trt.net.tr
0 comments: