BARCELONA YAHAHA JUU YA MESSI
Rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu anafanya mazungumzu na baba mzazi wa Messi Mr JOrge ambaye anaekti kama wakala wa mchezaji juu ya mkataba mpya kati ya messi na barcelona, Mkataba huo unaitwa mkataba wa maisha ambao utamfanya messi amalizie soka lake pale Barcelona
habari zaidi bofya link hapo chini
Lionel-Messi
0 comments: