DI MARIA NA OZIL WAKUMBUKA NYUMBANI
Wachezaji wawili waliokuwa pamoja katika klab ya Real Madrid wamekumbuka nyumbani na wanataka kurudi Santiago Bernabeu. wachezaji hao inasemekana hawana raha katika vilab walipo sasa ukilinganisha na walipo kuwa Madrid
kwa habari zaidi real-madrid
0 comments: