RECORD YA MICHAEL OWEN YA VUNJWA
Kwa takribani miaka 19 Michael Owen ndiye mchezaji aliyeshikilia record ya kufunga akiwa na umri mdogo zaidi ndani ya klab ya liverpool
Record hiyo imevunjwa jana Ben Woodburn na mchezaji mwingine ndani ya Liverpool ambaye amefunga akiwa na umri mdogo zaidi ya ule aliokuwa nao Michael Owen
hapa chini ni orodha ya wavunja record hao
LIVERPOOL'S YOUNGEST GOALSCORERS
1. Ben Woodburn 17 miaka 45siku
2. Michael Owen 17 miaka 143siku
3. Jordan Rossiter 17 miaka 183siku
4. Raheem Sterling 17 miaka 317siku
5. Jimmy Melia 18 miaka 46siku
Kwa habari zaidi http://www.dailymail.co.uk/sport/football
KAMA HUKUCHEKI VIDEO YA DARASA TOO MUCH ....NIMEKULETEA
KAMA HUKUCHEKI VIDEO YA DARASA TOO MUCH ....NIMEKULETEA
0 comments: