KIMTAZAMO MOURINHO MAN UTD IMEMSHINDAAAAAAAAAAAA

...................





katika hali isiyo ya kawaida kocha wa Man Utd ameonyesha kuwa anauwezo mdogo wa kuweza kuitengeneza timu kwa mafanikio. watu wengi walitegemea makubwa toka kwa kocha huyo lakini hali si kama walivyofikiri.
ukifuatilia hali ndani ya kikosi cha Man Utd utagundua mengi sana, ikiwa mojawapo wachezaji kutojiamini kwa hofu ya kumwogopa kocha.
Baada ya kuanza kuifundisha man utd tunaona kocha anatumia muda mwingi kulumbana na wachezaji na kuanzisha bifu zisizo za maana, pia wachezaji kutopewa nafasi za kucheza kutokana na umuhimu wao na kinachotokea ni kuchezesha kwa kadiri anavyotaka yeye, mfano rashford kachezeshwa namba si yake, kamkumbatia lingard kwa muda mrefu lakini kamwangusha. ashel hana nafasi, umuhimu wa carrick hautambui
Jambo jingine ni kwamba baadala ya kuwatengeneza wachezaji yeye anafikiria kuwauza ama kuwakopesha huku akifikiri mbadala ni kununua wachezaji waliotengenezwa na wengine. Kubwa zaidi mourinho hashauriki kabisaaaaaaaaaaa

Mtazamo Washabiki wa Man Utd wavumilie kwani kipindi hiki ni cha mpito na kumpata mtu sahihi wa kumrithi Fargie ni kazi ngumu
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: