SCHOLES AIFUNGUKIA MAN UTD

...................
paul alikuwa mtu wa watu man utd na mtu muhimu pale oldtrafford,tutamkumbuka kwa mengi sanaaaaaaaaa  kubwa zaidi ni lile la kustaafu kisha kuombwa arudi tena kuokoa jahazi man utd na akafanya hivyo, ilikuwa heshima kwake na kwa timu. baada ya kuondoka mzee fargie na kuja warithi wake Paul hakuwahi kuwa mwongeaji sana tofauti na kipindi hiki cha Mourinho,
Paul kaongea mengi ikiwa kushauri kwa lengo la kuifanya timu kuwa bora, alitoa ushauri baada ya kununuliwa Pogba kwa kusema na kutaja aina ya kiungo wa kucheza na Pogba kwa manfaa ya timu, kushauri mbinu za kiuchezaji na kiufundishaji. Hakuishia hapo tu amekuwa mtu mfuatiliaji wa timu kila ikicheza na wakati mwingine hata kusafiri kuifuata timu. Kwa mchi ya juzi ya europa Paul kanena haya juu ya Timu na wachezaji

kwa habariri zaidi bofya link hapo chini

scholes achafuka nyongo
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: