NI KWELI MATUMIZI YA INTERNET NI NAFUU TANZANIA KULIKO NCHI NYINGINE ZA AFRIKA?
Gharama za matumizi ya Internet kwa njia ya simu za mkononi nchini
Tanzania ni nafuu zaidi barani Afrika, ambayo ni dola 0.89 ya kimarekani
kwa kifurishi cha 1GB, ikilinganishwa na Malawi dola 5.8, Afrika Kusini
na Nigeria dola 5.26, Kenya dola 5 na Misri dola 2.8, kutokana na
matumizi ya mtandao wa 4G na ushindani kati ya makampuni mbalimbali ya
simu nchini humo.
chanzo: https://www.facebook.com/kiswahilicri/?hc_ref=NEWSFEED
chanzo: https://www.facebook.com/kiswahilicri/?hc_ref=NEWSFEED

0 comments: