NEY WA MITEGO NA KASHFA YA UBAKAJI
‘Mimi ninavyong’anganiwa na wanawake naanzaje kumbaka’-Nay wa Mitego
Stori
zilianza wiki iliyopita ambapo Nisha aliandika kuwa ana mimba ya
mwanaume ambaye waliachana muda mrefu na baadaye alirudi na kumbaka,
hakumtaja jina lake ila akasema ni msanii, kwa mujibu wa taarifa za
Soudy Brown mhusika wa mimba hiyo ni Nay wa Mitego. Soudy Brown amepiga
stori na Nay wa Mitego…….
’hizi
stori naziona, sipendi kuonekana nashindana na mwanamke, huwa nakaa
kimya lakini nimeona vimezidi yeye ana vichochea sijui anatengeneza kiki
lakini hii inanichafua, iko hivi mimi sijaonana na huyo msichana karibu
mwaka wa tatu sasa, sijui nashirikishwaje kwenye suala la mimba mara
naambiwa nimembaka, mimi ninvyogombaniwa na wanawake naanzaje kumbaka’;-Nay wa
sauti inapatikana hapa: http://millardayo
0 comments: