TAZAMA VIDEO YA ZAINAB ABDALLAH, MKUU WA WILAYA MDOGO KULIKO WOTE TANZANIA
...................
Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainab Abdallah ndio mkuu wa wilaya
mwenye umri mdogo kuliko wote Tanzania, pamoja na hayo unaweza kutamani
kujua inakuaje kwenye uongozi wake na anafanyaje kazi, kutana nae kwenye
hii video hapa chini…
0 comments: