VIDEO: Maamuzi yaliyotolewa kesi ya kupinga vipengele vya sheria ya mitandao
Kutoka ayotv
Leo
December 2 2016 mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imetoa maamuzi ya
kesi ya kupinga baadhi ya vipengele vya sheria ya mitandao. Mahakama
hiyo imesema vipengele vingi vipo sawa na vinaendana na katiba ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pamoja na
maamuzi hayo mahakama hiyo pia imetamka kuwa kifungu cha 50 kimekiuka
katiba ya Tanzania na hivyo imetaka kifanyiwe marekebisho ndani ya miezi
12.
Bonyeza Play kwenye video hii fupi hapa chini, wakili wa kujitegemea Gabriel Kambona ameutoa ufafanuzi kuhusu maamuzi hayo ya mahakama kuu kwenye kesi ya kupinga baadhi ya vipengele vya sheria ya mitandao.
0 comments: