TAZAMA VIDEO MH LEMA AKIRUDISHWA RUMANDE HUKU WATOTO WAKE WAKISHUHUDIA

...................

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa tena dhamana leo December 2 2016 na kurudishwa rumande kwenye kesi inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi kwa viongozi wa nchi akiwemo Rais.
Miongoni mwa waliokuwepo Mahakamani ni familia yake Mke na Watoto ambao walimpungia wakati akiondoka Mahakamani hapo, unaweza kutazama hii video fupi hapa chini…
.
chanzo:milardayo.com
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: