KUMBE JAMBO HILI HALIJAISHA TANZANIA
Zaidi ya wasichana 800 walikeketwa kaskazini mwa Tanzania Desemba 2016
licha ya jitihada kadhaa za polisi dhidi ya vitendo hivyo. Ni kitu gani
kinachangia kuendelea kwa vitendo hivyo nchini Tanzania? Msikilize
Zainab Aziz akimhoji Eddah Sanga mkurugenzi mtendaji wa shirika la
waandishi wa habari wanawake Tanzania TAMWA.
zaidi bofya link hii wasichana-800-walikeketwa-tanzania-desemba

0 comments: