RONALDO AKUMBWA NA KASHFA YA UBAKAJI

...................
Mchezaji bora WA dunia amekana kashfa ya ubakaji iliyochapishwa na gazeti moja la ujerumani. Katika kashfa hiyo Ronaldo anadaiwa kumbaka msichana mmoja na kuzima soo hiyo kwa  kulipa pesa nyingi zinazodaiwa kuwa euro 300,000. Lakini CR7 amekanusha madai hayo na kupitia kwa wakili katishia kulishtaki gazeti hilo. Kasema document za ushahidi walizotoa si za kweli

Kwa habari zaidi bofya link hii Cristiano-Ronaldo
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: