Ni
jamaa alieamua kuutumia ubunifu wake na kuamua kungo’a chuma na mabati
na kuziacha chuma chache zile muhimu tu lakini huku kwingine kote gari
likanakshiwa na mbao yani Kwa picha zaidi nenda kwenye link ifuatayo: Kila anaekutana na hili gari lazima alitazame mara mbilimbili