MWANAUME OMBA LISIKUKUTE KAMA HILI . UTAJUTAAAAAAA......!

...................

AMTEMBEZA MUMEWE KAMA MBWA BAADA YA KUMFUMANIA NA MWANAMKE MWINGINE.

Mapenzi muda mwingine yanakuwa na vituko vyake na vinapotokea huwashangaza na kuwaacha watu midomo wazi.
Mama huyu alimfumania mmewe na mwanamke mwingine na mumewe alianza kuomba msamaha na ndipo mama huyu aliamua kumsamehe ila kwa kumpa adhabu mumewe na adhabu yenyewe ndiyo kama hiyo unayoiona ya kumtembeza mumewe kama mbwa kwa muda wa siku 3
Kama wewe unaweza kukubali kufanyiwa hivyo na wewe mwanamke unaweza kumfanyia hivyo mpenzi wako/mumeo?? toa maoni yako hapo chini.
 
chanzo:wajanja wa town
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: